Pular para o conteúdo
Publicidade

Ester 4

16 Yoe 1:14;Yon 3:4;Zab 34:22;Mit 29:25Nenda ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Susa, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie.

Veja também