Siku sita za uumbaji na Sabato
1 Yn 1:1,3;Ebr 1:10;Ayu 38:4;Isa 44:24;Rum 1:20;Kol 1:16;Ebr 11:3;Ufu 4:11Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2 Yer 4:23;Isa 40:12Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.