2 Mwa 17:6;18:18;46:3;Hes 23:10;Kum 26:5;1 Fal 3:8nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; 3 Gal 3:8;Mwa 24:35;27:29;Kut 23:22;Hes 24:9;Mwa 22:18;26:4;28:14;Zab 72:17;Mdo 3:25nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Publicidade