Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 2

21 Mwa 15:12BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake, 22 Mit 18:22;Ebr 13:4na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu. 23 Mwa 29:14;Amu 9:2;2 Sam 5:1;Efe 5:30;1 Kor 11:8Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Veja também