Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 21

17 Kut 3:7;2 Fal 13:4,23Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko. 18 Mwa 21:13;25:12;Amu 8:24Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa. 19 Hes 22:31;2 Fal 6:17;Lk 24:16Mungu akamfumbua macho, naye akaona kisima cha maji; akaenda akakijaza kiriba maji, akamnywesha kijana.

Veja também