Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 27:35,36,41

SRUV Swahili Revised Union Version

35 1 The 4:6Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akaichukua baraka yako. 36 Mwa 25:29-34Akasema, Je! Hakuitwa Yakobo kwa haki, maana amejitia mahali pangu mara mbili hizi? Alichukua haki yangu ya mzaliwa wa kwanza, na sasa ameichukua baraka yangu. Akasema, Je! Hukuniwekea na mimi mbaraka?

Yakobo akwepa ghadhabu ya Esau

41 Mwa 37:4;50:3;Oba 1:10;1 Yoh 3:12Esau akamchukia Yakobo kwa ajili ya ile baraka babaye aliyombariki. Esau akasema moyoni mwake, Siku za kumlilia baba yangu zinakaribia, ndipo nitakapomwua ndugu yangu Yakobo.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    35 Lakini akamjibu, "Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu, akachukua baraka yako."

    36 Esau akasema, "Si ndiyo sababu anaitwa Yakobo? Amenidanganya mara hizi mbili: Alichukua haki yangu ya kuzaliwa na sasa amechukua baraka yangu!" Kisha akauliza, "Hukubakiza hata baraka moja kwa ajili yangu?"

    41 Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, "Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia; ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    35 Lakini akasema, "Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako."

    36 Esau akasema, "Si ndiyo sababu anaitwa Yakobo? Amenidanganya mara hizi mbili: Alichukua haki yangu ya kuzaliwa na sasa amechukua baraka yangu!" Kisha akauliza, "Hukubakiza hata baraka moja kwa ajili yangu?"

    41 Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, "Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia, ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.