14 Lk 23:42;Yos 2:12;1 Sam 20:14;1 Fal 2:7Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.
23 Ayu 19:14;Zab 31:12;Mit 3:27;Mhu 9:15;Amo 6:6;Ebr 13:16Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau.