14 Lakini mambo yako yatakapokuwa mazuri, unikumbuke, unifanyie wema. Useme mema kunihusu kwa Farao ili unitoe huku gerezani.
23 Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau.
14 Lakini mambo yako yatakapokuwa mazuri, unikumbuke, unifanyie wema. Useme mema kunihusu kwa Farao ili unitoe huku gerezani.
23 Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau.
14 Lk 23:42;Yos 2:12;1 Sam 20:14;1 Fal 2:7Ila unikumbuke mimi, utakapopata mema, ukanifanyie fadhili, nakuomba, ukanitaje kwa Farao, na kunitoa katika nyumba hii.
23 Ayu 19:14;Zab 31:12;Mit 3:27;Mhu 9:15;Amo 6:6;Ebr 13:16Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau.
14 Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
23 Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yosefu, bali alimsahau.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.