Pular para o conteúdo
Publicidade

Gênesis 47

7 Mwa 20:15;1 Fal 11:28;Mit 12:24;22:29Yusufu akamleta Yakobo babaye ndani akamweka mbele ya Farao, Yakobo akambariki Farao. 8 Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za kuishi kwako ni ngapi? 9 Zab 39:12;119:19;2 Kor 5:6,7;Ebr 11:9,13;1 Pet 2:11;1:24;Ayu 7:7;14:1;Mhu 2:23;Yak 4:14;Mwa 25:7;35:28Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao. 10 Mwa 47:7Yakobo akambariki Farao, akatoka mbele ya Farao. 11 Kut 1:11;12:37Yusufu akawakalisha babaye na nduguze, na kuwapa milki katika nchi ya Misri, katika mahali pazuri pa nchi, katika nchi ya Ramesesi, kama Farao alivyoamuru. 12 Mit 10:1;Kut 20:12Naye Yusufu akawalisha babaye na nduguze na nyumba yote ya babaye, kwa kadiri ya hesabu ya watoto wao.

Veja também