15 Mungu akamwambia Nuhu, akisema, 16 Mwa 7:13;Zab 121:8Toka katika safina, wewe, na mkeo, na wanao, na wake za wanao pamoja nawe. 17 Mwa 1:22Utoe pamoja nawe kila kilicho hai kilichomo pamoja nawe, chenye mwili, ndege, na mnyama, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi; wajae katika nchi, wawe na uzazi, wakaongezeke katika nchi.
Publicidade