Pular para o conteúdo
Publicidade

Waraka kwa Waebrania 1

Mungu amenena katika mwanaye

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi, 2 Zab 2:8;Yn 1:3;Kol 1:16;Mt 21:38mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

Veja também