Pular para o conteúdo
Publicidade

Hebreus 13

Huduma impendezayo Mungu

1 Yn 13:34;2 Pet 1:7Upendano wa ndugu na udumu. 2 Mwa 18:1-8;19:1-3;Rum 12:13;1 Pet 4:9Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua. 3 Mt 25:36Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili.

Veja também