Pular para o conteúdo
Publicidade

Hebreus 9

13 Law 16:3,15-16;Hes 19:9,17-19Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng’ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili; 14 1 Pet 1:18,19;1 Yoh 1:7;Ufu 1:5;1 Kor 15:45;Ebr 6:1basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na dosari, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai?

Veja também