27 Mwa 3:19Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; 28 Isa 53:12;Flp 3:20;Ebr 10:10;12:14;2 Tim 4:8;1 Pet 2:24kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
Publicidade