2 Zab 27:7;2 Pet 2:8Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa. 3 Mbona wanionesha uovu, na kunifanya nione mabaya? Maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu; kuna ugomvi, na mashindano yatokea. 4 Ayu 12:6;Zab 12:8;58:1,2Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu inayotolewa huwa imepotoshwa.
Habakuki 1:2-4
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
2 Ee Mwenyezi Mungu, hata lini nitakuomba msaada,
lakini wewe husikilizi?
Au kukulilia, "Udhalimu!"
lakini hutaki kuokoa?
3 Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma?
Kwa nini unavumilia makosa?
Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu;
kuna mabishano na mapambano kwa wingi.
4 Kwa hiyo sheria imepotoshwa,
nayo haki haipo kabisa.
Waovu wanawazunguka wenye haki,
kwa hiyo haki imepotoshwa.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
2 Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,
lakini wewe husikilizi?
Au kukulilia, "Udhalimu!"
Lakini hutaki kuokoa?
3 Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma?
Kwa nini unavumilia makosa?
Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu;
kuna mabishano na mapambano kwa wingi.
4 Kwa hiyo sheria imepotoshwa,
nayo haki haipo kabisa.
Waovu wanawazunguka wenye haki,
kwa hiyo haki imepotoshwa.Bwana
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.