Pular para o conteúdo
Publicidade

Habakuki 3

Imani na shangwe katika shida

17 2 Kor 4:8,9Maana mtini hautachanua maua,

Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda;

Taabu ya mzeituni itakuwa bure,

Na mashamba hayatatoa chakula;

Zizini hamtakuwa na kundi,

Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng’ombe;

18 Zab 42:5;Isa 61:10Walakini nitamfurahia BWANA

Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também

Habacuque
Ver todos os capítulos de Habacuque