Pular para o conteúdo
Publicidade

João 1

Yesu awaita Filipo na Nathanaeli

43 Mt 8:22;Mk 2:14Kesho yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44 Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro. 45 Kum 18:18;Isa 7:14;53:2;Yer 23:5;Eze 34:23Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na manabii, Yesu, mwana wa Yusufu, mtu wa Nazareti.

Veja também