Pular para o conteúdo
Publicidade

João 1

45 Kum 18:18;Isa 7:14;53:2;Yer 23:5;Eze 34:23Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye aliyeandikiwa na Musa katika torati, na manabii, Yesu, mwana wa Yusufu, mtu wa Nazareti. 46 Yn 7:41,52Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.

Veja também