Pular para o conteúdo
Publicidade

João 10

14 2 Tim 2:19Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi; 15 Mt 11:27;Lk 10:22kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. 16 Eze 37:24;34:23;Yn 11:52;1 Pet 2:25;Efe 4:5Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.

Veja também