Publicidade

João 16

7 Yn 14:16,26Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitamtuma kwenu. 8 1 Kor 14:24;Ebr 4:12Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu. 9 Yn 3:18;Rum 1:18Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi;

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_12-11-46-