Pular para o conteúdo
Publicidade

João 16

8 1 Kor 14:24;Ebr 4:12Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu. 9 Yn 3:18;Rum 1:18Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi; 10 Mdo 5:31;Rum 4:25kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena; 11 Yn 12:31;14:30kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.

Veja também