14 Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!
29 Zab 69:21Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani.
33 Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; 36 Kut 12:48;Hes 9:12;Zab 34:20Kwa maana hayo yalitukia ili andiko litimie,
Hapana mfupa wake utakaovunjwa.