Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 4

31 Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabi, ule. 32 Yn 4:34Akawaambia, Mimi ninacho chakula msichokijua ninyi. 33 Basi wanafunzi wake wakasemezana, Je! Mtu amemletea chakula? 34 Yn 17:4Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenituma, nikaimalize kazi yake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também