Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 6:14,15

SRUV Swahili Revised Union Version

14 Kum 18:15Basi watu wale, walipoiona ishara aliyoifanya, walisema, Hakika huyu ni nabii yule ajaye ulimwenguni.

15 Yn 18:36Kisha Yesu, alipotambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    14 Baada ya watu kuona muujiza ule Isa aliofanya, walianza kusema, "Hakika huyu ndiye Nabii ajaye ulimwenguni!" 15 Isa akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    14 Baada ya watu kuona muujiza ule Yesu aliofanya, walianza kusema, "Hakika huyu ndiye Nabii ajaye ulimwenguni!" 15 Yesu akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.