14 Baada ya watu kuona muujiza ule Isa aliofanya, walianza kusema, "Hakika huyu ndiye Nabii ajaye ulimwenguni!" 15 Isa akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake.
Isa atembea juu ya maji
(Mathayo 14:22-33; Marko 6:45-52)