Pular para o conteúdo
Publicidade

Juízes 11

30 Mwa 28:20;Hes 30:2;1 Sam 1:11;Mhu 5:1,2Naye Yeftha akamwekea BWANA nadhiri, akasema, Ikiwa utawatia wana wa Amoni mkononi mwangu kweli, 31 Law 27:2;1 Sam 1:11ndipo itakuwa ya kwamba, kile kitakachotoka katika milango ya nyumba yangu kunilaki, hapo nitakaporudi na ushindi kutoka kwa hao wana wa Amoni, kitu hicho kitakuwa ni cha BWANA, nami nitakisongeza kiwe sadaka ya kuteketezwa.

Veja também