Pular para o conteúdo
Publicidade

Waamuzi 17

3 Kut 20:4,23;Law 19:4;Kum 12:30;Zab 115:4-8Basi akamrudishia mama yake hizo fedha elfu na mia moja. Mama yake akasema, Mimi naziweka fedha hizi kabisa ziwe wakfu kwa BWANA, zitoke mkononi mwangu kwa ajili ya mwanangu, ili kufanya sanamu ya kuchonga, na sanamu ya kusubu; basi kwa hiyo nakurudishia wewe.

Veja também