Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1

28 Amu 5:24Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe. 29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? 30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. 31 Mt 1:21-23;Amu 13:3;Isa 7:14Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume; na jina lake utamwita Yesu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também