Kubarikiwa kwa kweli
27 Lk 1:28,42,48Ikawa alipokuwa akisema maneno hayo, mwanamke mmoja katika mkutano alipaza sauti yake, akamwambia, Heri tumbo lililokuzaa, na matiti uliyonyonya. 28 Lk 8:15,21Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika.