Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 11:27,28

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

27 Ikawa Isa alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya umati ule wa watu akapaza sauti akasema, "Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!"

28 Isa akajibu, "Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."

Ishara ya Yona

(Mathayo 12:38-42)

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    27 Lk 1:28,42,48Ikawa alipokuwa akisema maneno hayo, mwanamke mmoja katika mkutano alipaza sauti yake, akamwambia, Heri tumbo lililokuzaa, na matiti uliyonyonya. 28 Lk 8:15,21Lakini yeye alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    27 Ikawa Yesu alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katikati ya ule umati wa watu akapaza sauti akasema, "Limebarikiwa tumbo lililokuzaa na matiti uliyonyonya!"

    28 Yesu akajibu, "Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.