Mfano wa kondoo aliyepotea
1 Lk 5:29-30Basi watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia wamsikilize. 2 Lk 5:30Mafarisayo na waandishi wakanung’unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao.