Yesu mbele ya Pilato
1 Mt 27:2,11-31;Mk 15:1-20; Yn 18:28—19:16Kisha mkutano wote wakasimama, wakampeleka kwa Pilato. Lk 20:252 Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona huyu akipotosha taifa letu, na kuwazuia watu wasimpe Kaisari kodi, akisema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo, mfalme.