Pilato amhoji Isa
1 Kisha umati wote wa watu wakainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato. 2 Nao wakaanza kumshtaki wakisema: "Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita ni Al-Masihi23:2 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., mfalme."