17 Mt 18:15;Mwa 27:41;1 Yoh 2:9,11;3:15;Lk 17:3Usimchukie ndugu yako moyoni mwako; ni lazima kumkemea jirani yako, au ulipizwe uovu kwa ajili yake 18 Mt 5:43,44;19:19;22:39;Mk 12:31;Lk 10:27;Rum 13:9;12:17;Gal 5:4;Yak 2:8Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
Publicidade