10 Kut 20:14;Law 18:20;Kum 5:18;22:22;Yer 29:23;Yn 8:4,5;1 Kor 6:9;Ebr 13:4Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. 13 Law 18:22;Mwa 19:5;Rum 1:25,32Tena mwanamume akilala pamoja na mwanamume, kama alalavyo na mwanamke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.