Pular para o conteúdo
Publicidade

Mambo ya Walawi 23

42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazaliwa wote wa Israeli watakaa katika vibanda; 43 Kum 31:13;Zab 78:5,6ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwafanya wana wa Israeli kukaa katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri; mimi ndimi BWANA Mungu wenu.

Veja também