Pular para o conteúdo
Publicidade

Mambo ya Walawi 25:17,35,36

SRUV Swahili Revised Union Version

17 Mit 14:31;22:22;Yer 7:6;Eze 22:29;1 The 4:6Wala msidanganyane; lakini utamcha Mungu wako; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

35 Kum 15:7-8;Zab 37:26;Mit 14:31;Lk 6:35;Mdo 11:29;Rum 12:18;1 Yoh 3:17Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri. 36 Kut 22:25;Kum 23:19;Neh 5:7;Zab 15:5;Mit 28:8;Eze 18:8,13,17Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    17 Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako.

    35 " ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe kati yako, msaidie vile ungemsaidia mgeni au mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi kati yako. 36 Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi kati yako.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    17 Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.

    35 " ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako. 36 Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi katikati yako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.