3 Kum 11:13-15;28:1-14Mkizifuata amri zangu, na kuyashika maagizo yangu, na kuyafanya; 4 Kum 28:12;Isa 30:23ndipo nitazinyesha mvua zenu kwa nyakati zake, na nchi itazaa mavuno yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.