Mateso yajayo
9 Mt 10:17-20;Lk 12:11-12Nanyi jihadharini nafsi zenu; maana watawapeleka ninyi mabarazani; na katika masinagogi mtapigwa; nanyi mtachukuliwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao. 10 Mk 16:15Na sharti Injili ihubiriwe kwanza katika mataifa yote.