Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 14

Kuanzishwa kwa Chakula cha Bwana.

22 1 Kor 11:23-25Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu. 23 Akatwaa kikombe, akashukuru, akawapa; wakakinywea wote. 24 Kut 24:8;Yer 31:31-34;Zek 9:11Akawaambia, Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25 Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também