25 Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulubisha.
Kifo cha Yesu
33 Amo 8:9Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hadi saa tisa. 34 Zab 22:1Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? 37 Naye Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Kuzikwa kwa Yesu
42 Mt 27:57-61;Lk 23:50-55;Yn 19:38-42Ilipofika wakati wa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato,