Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 7:6-8

SRUV Swahili Revised Union Version

6 Isa 29:13Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa,

Watu hawa huniheshimu kwa midomo

Ila mioyo yao iko mbali nami;

7 Nao waniabudu bure,

Wakifundisha mafundisho

Yaliyo maagizo ya wanadamu,

8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Isa akawajibu, "Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa:

    " ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,

    lakini mioyo yao iko mbali nami.

    7 Huniabudu bure,

    nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’

    8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    6 Yesu akawajibu, "Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa:

    " ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,

    lakini mioyo yao iko mbali nami.

    7 Huniabudu bure,

    nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’

    8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.