Tuzo la waaminio
16 Mwa 22:12;1 Fal 18:3,12;Zab 33:18;111:10;Ayu 28:28;Ebr 3:13Ndipo wale waliomcha BWANA waliposemezana wao kwa wao. Naye BWANA akasikiliza, akasikia; na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha BWANA, na kulitafakari jina lake.