Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 1

20 Mt 1:18Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 21 Lk 1:31;2:21;Mdo 4:12Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao. 22 Isa 7:14Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,

23 Isa 7:14Tazama, bikira atachukua mimba,

Naye atazaa mwana;

Nao watamwita jina lake Imanueli;

Yaani, Mungu pamoja nasi.

24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe; 25 Lk 2:21;2:7asimjue kamwe hadi alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.

Veja também