14 Isa 6:9-10;Yn 12:40;Mdo 28:26,27Na neno la nabii Isaya linatimia kwao, likisema,
Kusikia mtasikia, wala hamtaelewa;
Kutazama mtatazama, wala hamtaona.
15 Maana mioyo ya watu hawa imekuwa mizito,
Na kwa masikio yao hawasikii vema,
Na macho yao wameyafumba;
Wasije wakaona kwa macho yao,
Wakasikia kwa masikio yao,
Wakaelewa kwa mioyo yao,
Wakaongoka, nikawaponya.