Yesu asema juu ya kufa na kufufuka kwake
21 Mk 8:31—9:1;Lk 9:22-27Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.Mt 12:40;Yn 2:19