5 Mwa 22:2;Kum 18:15;Zab 2:7;Isa 42:1;Mt 3:17;12:18;Mk 1:11;Lk 3:22Alipokuwa bado akisema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
Publicidade