Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 22

37 Kum 6:5Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. 38 Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. 39 Law 19:18Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.

Veja também