Yuda akubali kumsaliti Yesu
14 Mk 14:10,11;Lk 22:3-6Wakati huo mmoja wa wale Kumi na Wawili, jina lake Yuda Iskarioti, aliwaendea wakuu wa makuhani, 15 Zek 11:12;Yn 11:57akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.26:15 Yapata kama shilingi 90.