Majaribu ya Yesu
1 Mk 1:12,13;Lk 4:1-13Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.Ebr 2:18;4:152 Kut 34:28;1 Fal 19:8Akafunga siku arubaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa. 3 Mwa 3:1-7Mjaribu akamjia akamwambia, Ikiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate. 4 Kum 8:3Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
7 Kum 6:16Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. 10 Kum 6:13Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.